Monday, October 14, 2013

NIKKI MBISH BABA MALKOM

Kwa kuwa mixtape ya Malcolm xi naisambaza mwenyewe na sio wadosi, kwa watu wa mikoani yaan nje ya Dar, ningependa kupokea orders za mzigo mkubwa wa Tshirts na CDs, sio rahisi kwenda ubungo kutuma cd moja mtwara halafu nirudi tena ubungo au airport au bandarini kutuma CD moja Zanzibar, hivyo hii ni nafasi kwa wadau ku-share nami biashara, KWA WALIO TAYARI tuwasiliane kupitia 0655707315 Nikki Mbishi

Saturday, October 12, 2013

NDUGU WA ROHO.......COMIND SOON, DONT WAIT TOA NENO LINI UNATAKA UIPATE MKONONI NA UKIWA WAPI?

 MIX-TAPES NDO  MPANGO KWA WABISHI WALIOKOMAA NA UBISHI

 CD COVERS ZIKIWA TAYARI ZIMESHAANDALIWA ZINAKUSUBIRI WEWE TU USEME


WANAHARAKATI WA UKWELI HAWAPOTEI DAIMA

HUYU NI MMOJA YA WANAHARAKATI WA UKWELI SANA NA NNAMKUBALI SANA HUYU JAMAA...........ANAITWA RICHARD MWANDISI..........King Rich-Rhymes

kwa mahitaji ya RAMANI ZA NYUMBA NA MAJENGO AINA ZOTE TUWASILIANE HAPA,O768308864,0717153825

Nyumba za Kuishi, Biashara na Matumizi Mengine kwa bei nafuu

UNAFKI WA WASANII WA KITANZANIA, na hatakati za kwenye WALL

Utakuta mtu anajiita MWANA HARAKATI,Alafu kwenye wall yake anapost vitu kibao,uki comment yeye ndio anakuwa wa kwanza ku LIKE na kuku inspire kwa maneno matamu...cha ajabu mtu huyo huyo ukimfata INBOX NA KUMUELEZA JAMBO,anakausha,au akikujibu ni kwa mkato tuu..SASA HUWA TUNAJIULIZA HIZI HARAKATI NI ZA KWENYE WALL AU INBOX AU KUTOKA MOYONI.....Tafakari na chukua hatua....,

wazo la leo

Ukimuelimisha mtoto mmoja wa kizungu ni sawa na kuelimisha waafrika Million Moja....#RadioMkoloni

pata habari za ukwel na uhakika zilizotikisa pande zote za dunia...halaaaa