Saturday, October 12, 2013

UNAFKI WA WASANII WA KITANZANIA, na hatakati za kwenye WALL

Utakuta mtu anajiita MWANA HARAKATI,Alafu kwenye wall yake anapost vitu kibao,uki comment yeye ndio anakuwa wa kwanza ku LIKE na kuku inspire kwa maneno matamu...cha ajabu mtu huyo huyo ukimfata INBOX NA KUMUELEZA JAMBO,anakausha,au akikujibu ni kwa mkato tuu..SASA HUWA TUNAJIULIZA HIZI HARAKATI NI ZA KWENYE WALL AU INBOX AU KUTOKA MOYONI.....Tafakari na chukua hatua....,

3 comments: